Suche einschränken:
Zur Kasse

5 Ergebnisse.

King'ora cha Mwehu

Abdulla, Ali
King'ora cha Mwehu
King'ora cha Mwehu ni tamthilia inayoangazia matatizo yakiuchumi, kisiasa na kijamii yanayotokana na utawala mbaya waviongozi wa nchi ya Sifuri. Viongozi hawa hawana chochote walalolote la kuwafaidi wananchi au nchi zao. Kinachowaongoza niulafi na kupapia kila kinachopatikana nchini na kudai wana hakiya kusherehekea utamu wa Keki ya Taifa.Wanafanya hivi hukuwananchi wakiendelea kuumia, kuteseka na kudhalilishwa naumaskini, njaa, ukosefu wa aji...

CHF 37.50